Wednesday, May 18, 2011

NEW ARRIVAL.....@BINTI AFRIKA

YAP YAP BINTI AFRIKA TUMESHUSHAA MZIGO MPYAA KUANZIA MAMBO YA SWIMMING COSTUME HADI YA MTOKO BILA KUSAHAU MAX DRESS NA DISH DASH TYPE ZA BATIK...KWA UFUPI NI FULL SWAGGA , HATA WEYE BI HARUSI BINTI AFRIKA ANAWEZA KUKUVISHA KWENYE SEND OFF KAMA SI KITCHEN PARTY YAKO.....PIA SARE ZA KITCHEN PARTY BATIK STYLE BINTI AFRIKA ATAKUPATIA RANGI UIPENDAYOOO

WANAPATIKANA::KINONDONI PEMBENI YA KANISA LA PENTECOASTAL WAKITAZAMANA NA BARCLAYZ TX MARKET
WAPIGIE:: 0653 777 774











                                    HAWA WAMEVISHWA NA BINTI AFRIKA....nawaonjesha tu picha zajeee

No comments:

Post a Comment