YAP ZIKO ZA SWAGGA TOFAUTI NA WAWEZA IVAA KOKOTE NI WEWE TU UTAKAVYOIPANGILIA HADI KWA RED CARPET WAWEZA ZUKA NAYO NI WEWE TU JINSI YA KUJIKWATUA NAYO NAPENDAGA SAANA KIM K ANAVYOITINGA |
YAP NA HII HALI YA YA KIMVUA MVUA NDO YENYEWE, HAPA BONGO PIA ZINAPATIKANA, WE KATIZA QQ TREND UJISAVIE RANGI , STYLE NA SIZE YAKO DUMBUKIA HUMU KUONA MAMBO MAPYAN YA | QQTRENDZ |
No comments:
Post a Comment