Sunday, May 22, 2011

HEWA DESIGN....presens..... FREEDOM 2 EPRESS FASHION SHOW

'HEWA DESIGN'  
INAYOTAMBULIKA KWA JINA LA
'FREEDOM 2 EXPRESS' 
UJE UONE FASHION SHOW  KUTOKA KWA STYLIST MCHANGAA ASIYEVUMA LAKINI YUMO
MAHALI::THE LITTLE THEATRE
TAREHE:: 4 JUNE
MUDA:: 2 USIKU
KIINGILIO:: 25000
TIKETI ZAPATIKANA:: TRUEWORTH(MLIMANI CITY),
IB ELECTRONIC SHOP,SHOPPERS PLAZA (MIKOCHENI),
KNIGHT FRANK@(OYSTERBAY SHOPPING CENTER)
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA::  0783 17 45 74

No comments:

Post a Comment