ITAKUWA SIKU YA KIAFRIKA NDANI YA MAFIAN FISH LOUNGE ...AMBAPO KUTAKUWA KUNAPIGWA MITWANGO YA KIAFRIKA MWANZO MWISHO ZIKIWEMO YENU,KWAITOO, OLD'S ZA 80'S BILA KUSAHAU ZOUK.......WAPI UTAPATA II KITU KAMA SI MAFIAsi mwayajua mambo ya Peter Moe enzi zilee Blue Palms? wale wa morogoro Hotel ;) NI YEYE ATAKUWA ANATURUSHA.....UKARIBIE KWA KUJINUNULIA KUPON ZA 10,000 TU GETINI.......KARIBUNIIII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment