Friday, May 20, 2011

LADIES FORUM.......JUMAPILI HII!!

HI LADIES!!!



Ile FORUM yetu imekaribia imebaki wiki moja tuu! ni Jumapili hii tarehe 22nd May, 2011.



Nenda kachukue tiketi yako sasa.



1.                  MC VERO na team yake watafanya sherehe ya NGUVU.

2.                  TRAINERS wa biashara na uchumi:                                 MADAM AGATHA SHAYO – Manager –( Upendo FM Radio)
MAGDALENE HALL – Trade Office – Business and Entreprenuer Advisor
3.                  Bonge la fundo kutoka kwa MAMAA SOPHIA MADOGORI NA TEAM YAKE LIVE.

 


TIKETI ZINAPATIKANA:

Steers ( Samora avenue )

Mafia Fish Lounge -  Kahama road - Masaki

Saada Fashion – Kinondoni manyanya

Rose Garden – Mikocheni

Na pia tunaweza kukuletea kama utawasiliana na 0765 307 339 Sion Minja au 0715 375 640 Hilda Mollel.



Karibuni sana

  SHUGHULI NDO IYOOO ISHAWADIA NI WEWE TU KUJIWAHIA TIKETI YAKO MAPEMAA ILI UKAJIUPDATE NA MAMBO YANAYOENDA KWA WAKATI KIUCHUMI, MAHUSIANO NA BIASHARA KWA WEWE UNAYETAKA KUWA MJASIRIAMALI KAMA MIMI.

TINGA::CHOCHOTE CHA RANGI YA BLUE,NYEUPE AU NJANO
TIKETI ::30,000 TU

SEE YOU THERE......Mwanamke ubunifu bibi we

No comments:

Post a Comment