Sunday, May 15, 2011

K.K.W....HII NDO PRODUCT NITUMIAYO USONI.....Napishana na uzee shost

 HAYA WADAU BAADA YA MAOMBI YENU KADHAA  YA KUTAKA KUJUA USONI NATUMIA NINI...LEO NAWAJIA NA HABARI NJEMA...FULL PACKAGE NA KUKUPA NAFASI YA WEWE KUJARIBU time wise Mary Kay product
Kizuri Kula na Wenzio

......HII INAENDANA NA AGE FIGHTING MOISTURIZER (pishana na uzee ;)) AMBAYO INAONDOA MIKUNJO YA NGOZI NA KUUFANYA USO WAKO UWE NYORORO....NA HII HAIKO PEKE YAKE KWA SISI TUNAOSUMBULIWA NA CHUNUSI PIA KUNA  ACNE TREATMENT GEL..... AMBAYO MIE HUWA NATUMIA TU IWAPO KUNA KICHUNUSI KIMEJITOKEZA NA KAMA HAKUNA CHUNUSI SIIPAKI....NA VYOTE HIVI NINAENDA NA CLEASER...Cleansing Bar (with soap dish)
(KUTOKANA NA KUBANA MATUMIZI MIE NATUMIA HII YA KIPANDE CHA SABUNI AMBAYO INAFANYA KAZI SAWA NA ILE YA MAJI)

                                         
                                                  Age Fighting Moisturizer
                                           Acne treatment gel
                                             CLEASER BAR


 Na hii ndo package nzima ambayo utaipata kwa 
dola mia....$100 ,
ambapo utakuwa unaondoa mikunjo ya uso ,Wenye chunusu , unatibu harara na kuusafisha uso....nashukuru mimi vimenikubali .......na hii ndo siri yangu ya urembo ....K.K.W 
ndio maana nimefanya kuagiza zakutosha ili wooote tutumie na kupendeza....wakati huo huo mwilini natumia shear butter nikichaanganya na bio oil

No comments:

Post a Comment