Tuesday, May 17, 2011

ingizo jipya......TURBAN

UNAAMBIWA MARA YAKO YA MWISHO LINI KUVAA KILEMBA UKIWA UMECHANA NYWELE VYEMA KAMA SI UNAVAA KILEMBA UKIWA UMESHINDWA KUFUMUA NYWELE ZOTE, AU KUJIGUNDUA YULE MSUSI ALOKUAMBIA ANAKUJA KUKUMALIZIA KUKUSUKA AMEPATA DHARURAAA?.......BASI SASA WENZIO WANAENDA SALOON WANAOSHA NYWELE NA KUCHANA NA KISHA KUPACHIKA KITAMBAA CHENYE MFUNGO WA TURBAN UPO.....KIMENIKUMBUSHA KILE KILEMBA TULIFUNGA SIKU ZILE AMBACHO KILIKUWA KINAITWA ODEMBA ...kisa Odemba ndo ilikuwa style yake


No comments:

Post a Comment