MOTHERS DAY SPECIAL
8020 FASHIONS
....INAPENDA KUKUPA FURSA WEWE MAMA AU MTOTO KUTUMA PICHA UKIWA NA MAMA YAKO AU MWANAO NI KATIKA KUADHIMISHA SIKU HII MUHIMU KWA MAMA AMBAYO ITAADHIMISHWA MAY 8 ......NACHUKUA FURSA HII PIA KUOMBEA WANAWAKE WOOOTE WANAOPENDA KUWA MAMA KUWEZA KUTIMIZA HILI.
.....nani kama mama, love you mum RIP !!
NAWAPENDA NYOTE
XOXO!!
No comments:
Post a Comment