Tuesday, May 10, 2011

LULU'S KITCHEN PARTY!!

BRIDE::LULU
VENUE::POLICE OFFICERS MESS
THEME::AFRICAN(KITENGE ESOEBI)
COLOR::HOT PINK



    NILIPENDA MAPAMBO MAUA YALIYOTUMIWA NI ARTIFICIAL....YANAPENDEZA
                                 UGONJWA......JIKAPU LA MATUNDA.....yam yam


MWALI ALIFICHULIWA KWA MADOLAREE.....Aunt Ashuraaa na mashost zake ndo walifanya hii kaziii....palikuwa hapatoshiiiii

                                                                      9JA SWAGGS

DADA  NA WIFIZE WAKAJA NA MAPOUND......mambo ya kuoshwa na mapound na madolare bibi

                  DADA MTU BORA NA kati ya kiuno cha kizungu alimvisha dini la bangili (niziotazooo)
          ikafika zamu ya somooo nae akasasambua sanduku kwa aina yake...mnakumbuka mambo yaleeee ya morogoroo ya zamda yalikuwa hapo LIVE LIVE.....ushaona nazi inakunwa kwa mauno weye?!!....kutwanga kwa nyonga je...(mambo hayo yalisimamiwa na somo yangu mie mariam Mtambooo)





AUNT NYOTA NDO ALIKUWA SOMO....TASHTITI ZAKE SI MNAKUMBUKA...HUWI MPAMBE KAMA HUNA SARE EEEE...WALIIBUKA NA BAZEE NYEUSI NA VITUPIO VYA GOLD


watu waliduarikaa bibi
mzaa chema alikuwa na yakusema
MAAMISAA CHUMAAA...NDO ALIKUWA MFUNDAJI MKUU BIBI WE WATU TUMEJUA KUJIUPDATE....mambo haya mengine ya kuongea usiku watoto wamelala...ila i wish ningeweza wasikilizishaa kidoogo Mama huyu


Yes katika lile suala letu la ubunifu .....zawadi zilirekodiwa nyumbaniii...ukumbini tukaoneshwa dvd tu....mambo ya kujibebesha vyombo ukumbini bi harusi anaagwa nyie mnasaka pick up yamepitwa na wakati ;)


waheshimiwa nao walikuwepo...na uwepo wao ulitambuliwaaa
ISHA MASHAUUUZIIIII ...mkurya wa kwanza kuimba taarab...alikuwepo live....akiunguruma na Mama nipe radhi kuishi na watu kaziiii.....walimwengu wenywe hawana uwemaaa


RED CARPERT...ZULIANIIIII








































NILIKOGUSWAAA









                         MADINIIIII MADINIIIIII.......nafwaaa mie




No comments:

Post a Comment