Sunday, May 8, 2011

MC DUNIA...... ANAKUJA NA FUNDO LA HAJA

MC DUNIA WA MBEZI KWA MSUGURII, ANAYO FURAHA YA KUKUALIKA WEWE MAMA NA DADA KWENYE SHUGHULI YA KUFUNDWA NA KURUTUBISHA NDOA KAMA SI MALAVI DAVI......NJOO UJIFUNZE KUREGEZA NYONGA (KATA MAUNO) MAMC WATATU WA SHUGHULIKAJI HASWAAA,SHUGHULI ITAFANYIKA LULU HALL SINZA MAPAMBANO MKABALA NA 8020 FASHIONS


TAREHE::14 MAY
SIKU ::JUMAMOSI
MUDA ::12 JIONI
KIINGILIO::20,000
WASILIANA ::0718 055127 MC DUNIA ULETEWE TIKETI ULIKO

No comments:

Post a Comment