Monday, May 23, 2011

NILIPISHANA NAO!!!

 NI WAHESHIMIWA WABUNGE.....VICKY KAMATA NA CATHERINE MAGIGE.....Ndani ya nyumbani lounge kwa jide.....shukran kutusupport

NAWATAMBULISHA KWENU ESTILEAFFAIR.COM

NDIO HUY HUYO UNAYEMUONA NI MIRIAM IKOA....NDIO MWENYE HIYO www.estileaffairs.com

AMBAPO UKIMZUNGUKIA HUMO UTAJUA NINI ANAFANYA KWA KUKUDOKEZEA TU NI KUWA ANAANZISHA KAMPUNI AMBAYO ITAKUWA INAHUSIKA NA
CORPORATE EVENT& PRODUCT LAUNGE, MODELS FOR ADVERT ISING & EVENT, FASHION RUNWAY & SHOWCASE  & STYLE CONSULTATION  NK......KUWAELEWA ZAIDI INGI
kwani ni zaidi ya unavyoifikiria



Sunday, May 22, 2011

HEWA DESIGN....presens..... FREEDOM 2 EPRESS FASHION SHOW

'HEWA DESIGN'  
INAYOTAMBULIKA KWA JINA LA
'FREEDOM 2 EXPRESS' 
UJE UONE FASHION SHOW  KUTOKA KWA STYLIST MCHANGAA ASIYEVUMA LAKINI YUMO
MAHALI::THE LITTLE THEATRE
TAREHE:: 4 JUNE
MUDA:: 2 USIKU
KIINGILIO:: 25000
TIKETI ZAPATIKANA:: TRUEWORTH(MLIMANI CITY),
IB ELECTRONIC SHOP,SHOPPERS PLAZA (MIKOCHENI),
KNIGHT FRANK@(OYSTERBAY SHOPPING CENTER)
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA::  0783 17 45 74

NAWAONJESHAAA....mambo ya AR ;)



NI MC MAMUSHKAAA, AMA MC KIBAJAJI SASA HAPA ALIKUWA ANAONESHA NI KWANINI ANAITWA MC KIBAJAJI NA MC KIATU NDO HUYO HUYO......enjoy!!

HONGERA MR &MRS AMIGO....

hongereni kwa baby Girl...muumba awakuzie
xoxo!!

K.K.W.....MAMBO YA KIUMENIIII...MPENDE SHEMEJI SHOST

HAWAAA WANAUMEEEEE LEO NIMEWAKUMBUKA...NAJUA HUWA MNATUPITIA SAANA HUMU NIKASEMA NISIWAAACHE WATUPU...KWENYE KIZURI KULA NA WENZIO.....LEO NIMEAMUA KULA NANYI HILI...HIZI PRODUCT NI MAHSUSI KWA KUNYOLEAA...NDEVU AMBAPO UKITUMIA HIZI UNAEPUKANA NA MAPELE NA KUKUFANYA UWE SOFTT NA KUEPUKA MAUMIVU YA WEMBE.
ZINAPATIKANA::SHEAR ILLUSIONS MILLENIUM TOWER, MLIMANI CITY NA MIKOCHENI NA KULE ARUSHAAA



   EPUKANA NA MAUMIVU YA WEMBE KWA KUPAKA HII NA KUSAFISHA KIDEVU NA KUWA KAMA PAJA ;)
                                               




NEW ARRIVALS........@MWEMA CLASSIC

HAYAA WADAU MWEMA CLASSIC WAMESHUSHAA MZIGOOOOO WA HAJAAA SASA NJOO UJIPATIE NGUO ZA OFICIN KUANZIA SKET , TOP HADI SUTI ZA OFISINI NA MTOKO, NA WALE MAKHALAT WANGU KUNA SKET NDEFU ZA MBURUZO . BILA KUHASAU MAMBO YETU YALEEE YA KUREKEBISHAAA BOMA....
ZIMETUA NA MAMBO YETU YALEEE MENGINE YA USONI NA MWILINI VINASA VYENYE SWAGGA ZA KUPAGAWISHAAAA
KUONA MAMBO YAO YALIYOPITA INGIA  
WANAPATIKANA::MATAA YA FIRE WAKIANGALIANA NA ORXY PETROL STATIONS
WASILIANA NAO::0713 714 786, 0713 663377
































KUTOKA MAJUUU......JJ

COLOR COMBO & B2A