| MH Toni na huu mbururo wake bado naufikiria nahitaji kuona video clip kwa Joan Rivers ;) |
| lady gaga AMETISHAAAAAAAAA |
| ah my riri......niseme nini mie?!! |
| chezeyaaa Willow na DIGAZAAAA hapo unyayoooni |
| mh Jenny...hii diet inaondoa laza ya machooo |
| Lulu swagga zako hizi |
| kim K hajanikuna safari hii |
| vimini vilichukua nafasi kama kawa |
| ah Mama wawili...still rocking |
| back to afrikaaaa |
| hapa chichemii...sababu kila mtu anajuaaa ambacho ningesema |
No comments:
Post a Comment