Mwamvita 3: Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita  Makamba akiwa amebeba  kapu lenye mikate kwa ajili ya waadhirika wa  janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika kiwanja cha  uhuru,Vodacom Foundation ilitoa misaada mbalimbali .
 Wafanyakazi Voda: Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wa Red Cross  wakisaidiana kushusha vyakula mbalimbali katika lori lililosheheni   misaada  ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya waadhirika wa janga la  ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika kiwanja cha uhuru.
Mtoto:Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom  Tanzania wakiongea na mmoja wa watoto  waliopotezana na wazazi wao  katika janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto, akiwa katika kiwanja  cha uhuru mara baada ya wafanyakazi hao  kufika hapo kwa ajili ya kutoa  misaada mbalimbali.
No comments:
Post a Comment