Tuesday, May 3, 2011

MWAMVITA & SUZAN 4 Fortune Most Powerful Women Summit

Kila la heriii Mwamy
 Suzan Mashibe

Washindi wawili wa Tuzo za Wanawake Wenye Mafanikio Tanzania (TWAA) Bi. Mwamvita Makamba  na Bi. Suzan Mashibe wamechaguliwa na serikali ya
Marekani pamoja na kampuni kubwa ya Fortune Most Powerful Women Summit kushiriki kwenye program iitwayo Fortune/U.S State Department Global Women Mentoring Program inayohusishwa wanawake wanaoibukia kwenye uongozi kutoka nchi zinazoendelea wakikutanishwa na wanawake wenye mafanikio makubwa sana kutoka kwenye makampuni na mashirika makubwa ya marekani kwa ajili ya mafunzo ya kuboresha uongozi.

No comments:

Post a Comment