Thursday, May 19, 2011

MAZNAT SEND OFF PARTY

BRIDE::MAZNAT
VENUE::KIMARUU HALL
COLOR::RED
THEME::ROYAL
DESIGNER:DORICE



Namsaka mume wangu namsaka mume wanguuuuu...alisindikizwa na mamaid shut na mishumaa ikiwakaaa hadi alipompata...ni ubunifu tu
                                         
                               akapatikana alikuwa namawili matatu ya kuongea......ilinogaje
                                         
                                                           akapatikana haoooo msosini
                                            





igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

mapambooo ya ukwe'e



               kila meza ilikuwa na cake na iyo picha ya maza hapo ni biscut...tuligeukaje kina IQ ;)
                             SWAAGA ni zile zile ya kifalme utamaduni mwanzo mwisho ...hiii ni ngoma ilikuwa ikitukaribisha inje
                                                                ndio ivo ivyooo

                          si ndo safari ya biharusi kuingia ukumbini ikaanza sasa.....ni full swagga
                                            ni kama ile video niliyowaonjesha mlivyoionaa



                                                  mc alikuwa Angela Bondo...Mama wa Chereko

                                                                  RED CARPET
 bado nasubiri mzee wa GRM APANDISHE MAMBO....WE UKIONA NACHELEWA SAANA DUMBUKIA HUMU GRM PRODUCTION.....maana mimi nilifunikwa siku iyo nikawa mpoleeee maana kulikuwa na mobile studio kila nikipiga zaungua ;)

No comments:

Post a Comment