na wasindikizaji nao walimfichua mwenzao......CHEZEA TANTI BOY WEYEEE
UNAONA WAMENG'AAA NA KUIVA EEEE....HAPO WALITOKA KUSINGWAAA....WAKASINGIKaaaa
shurt kwa vitezo vilivyofukaaa moshi wa udi.....UPO NYONYO?!
bibi weee ukumbini vijana waliingizwa kwa kuondolewaaa husdaaa si wajuaaa tena wengine ndo walikuja sakaaa ...wako singooo ndani ya Singoooooooooo
unaambiwa zilimwagwa asmini na maua ridiiiii
WALIKUWA WANAUME HASWAA NA UNAAMBIWA KANZU MWENZIE KOBASI....ukavae kanzu na moka inahuuuuuuuuuuuuuuuuu????!!
HIVI NDO VITUPAVYO KASI KWA SIE TUSIOJIWEZAAA KUNYONGESHAAA halafu twataka JARIBU......D.I.D.A UPO?!!!;) |
KULIKUWA NA SAREEE DIRA JEPESIIIIII
AUNT NYOTA KAMA KAWA ALIKUWEPO NA CREW YAKE
DINIIIII AU MADINIIIII?!!!!!
CHA MGUUNI CHAITWA KIKUKU ICHO CHA KIDOLENI JE?!!
No comments:
Post a Comment