Sunday, April 3, 2011

MSHAURINI PLZ

tafadhali naomba wadau wanisaidei  mimi nina uso wenye mafuta mno, yaani kama kitimoto!will u advice me the good product for my face?
Yaani napata shida sana maana hata poda nikipaka haikai kwa muda imeshayeyuka inabidi niwe najifuta kila saa. Pls nisaidie mwenzenu.

No comments:

Post a Comment