VENUE::KARIMJEE HALL
COLOE::BABY BLUE & WHITE
BURUDANI::RUSHA ROHO & JAHAZI MODERN TAARAB
![]() |
| washakji walikuja msaidia mwenzie kuaga ubachela |
![]() |
| nyie si mwanyanyua kidoleee juuu....Mudy alinyanyua mkono juuu Upo Nyonyo?!!! |
![]() |
| hapa kuna MADINI na DINI......tafakariiiiiiii!! |
![]() |
|
![]() |
| kwa ufupi alipata kila kitu cha ndaniiii....maana hata picha nilichoka kupiga mieee |
sasamba sasambu mibegi kama twasubiri tren ya kigoma.... mama alidhamiria mwanae asinunue nguo kwa muda wa miazi 6 ....mi nilichokaaa nikasepa mwayaaaa....kuna kavidei nawaandaliaaaa kana kuja....kuweni na subira mambo mazuri hayataki haraka ;)
![]() |
| wana wa JAHAZII HAOO wanaeleaaa |
![]() |
| Mc Jamila Kitim tim Mama lao.....timua timua |
![]() |
| NAPENDAGA WAMAMA WAKIVAA HIZI NGUO......hebu nyama zinijae nami nianze tinga....WANANOGA EEE...YANAPATIKANA KWA ROZELLA TAILORING MART....wapendeni mama zenu kama si aunt au dada zenu |
![]() |
| AH WANA WA JAHAZI BIBI WALIPOZI ZULIANI EEEE |
![]() |
| LANGU ROHONIII |
![]() |
| kamati iliwezeshaaa mambo ndo iyoooo ikiongozwa na Tanti Boy... |
![]() |
| back to afrika haikosekaniii |
NILIKOGUSWAAAA
![]() |
| KIKUBAAA SHOST KIKUBAAA WAPITA UKINUKIA....HATA KWAPA LAINA GANI LIPITE HULISIKIIII.....wapiii Aishaaa ;) |
![]() |
| yes......madiiiiniiiii Maaadiniiiiii |
![]() |
| hair do...u name color of the event watu tusukeee ;) |




























































No comments:
Post a Comment