Wednesday, March 30, 2011
Tuesday, March 29, 2011
Monday, March 28, 2011
INGIZO JIPYAAA......PALAZZO TROUSER A.KA BUGALUU ;)
enzi hizo ziliitwa bugaluu hapo kati tukaziita bwanga na sasa ni PALAZZO....mafashionista mpooo ila hii wafae wenye urefu wao sisi nchi mbili na nusu tena kwa KT hazituusu!!
Sunday, March 27, 2011
KILIMANJARO MUSIC AWARDS
yap kulikuwa na burudani za hapa na pale
YES!! zote izo ni za 20% MWANAMUZIKI ALIYEVUNJA REKODI YA KUSHINDA TUZO TANO.....hata hivyo hakuwepo ukumbini akawakilishwa na producer wake MAN WATER MAN MAJI....huku mashabiki wake 20 per wakiwa wanazidendadenda tuzo.....hongera bro maana we ni wa ukwe'e
man water...man maji alimuwakilishaaa 20 per ...mzee wa combinengaa
MAMBO YA BACK TO AFRIKA yalianzia kwa PENNY......mshonaji akiwa ni yule yule ROZELLA WETU
kivazi cha jioni kilitoka QQ TRENDS
ACCESORIES ALIZOTINGA ni kutoka jackz cosmetis RED CARPET |
kim k alikuwa ananukia kitu KIM K kwa mbaali ;)
green ilitawa zulianiii naona Mafashionista walijitahidi kuijibu ile grEen iliyotanda kwenye grammy award mnatishaaaa
NILIAMBIWA BRANDY WA BONGO...mie sikukosetret sana huko nikajaa kwenye kiblazer iko cha kanga kama si kitenge...mambo ya B2A
BACK TO AFRIKA iliwakilishwa na kitu cha LACE
wadau walitritiwa kired carpet huko mbele walisindizwa kwa bashashaaa
KATIKA VIVAZI VYA KIMINO kilichotisha siku hiyo ni hiki cha JOKATE....ananiambia kadesigniwa na mbunifu wa hapa hapa nyumba.....ye makazi yake Morogoro...wakilisha mkoa mama
hakika swagga zilikuwepo za kutosha kama mnavyomuona Jacqline wolper hapo juu alipotoka KIsharoMaro
mambo yetu yalee wa BACK TO AFRIKA YALIWAKILISHWA NAMNA HIII.....labda na leo nitoe angalizo nadhani kitenge au kanga ni kivazi kizuri kuwa nazo nimegundua hakiishi fashion ni kama JEANS hakina kusema its over wala its soo last year ;) popote siku yoyote kinakubalika
willow smith nae alikuwepoo.....izo nywle na swagga za vivazi yeye na salam J |
WANAUMEEE
nao waliwakilishaaaa....masharobaro walikuwa wakumwaga(lingana na swagga za vivazi vyao....ila SUTI nazo (kitu cha jumba) mende walikuwa wanasaka nyumba zao siku hii ;) but mlipendeza.....na kitu cha draft nacho kilitawala mnipe jina la shati za draft ambazo niliona wakaka wengi wamezitinga au bado zaitwa SNOOPY DOG DOG kama enzi zetu ;)
HILI KOTI LA SUTI LILIKUWA KITU CHA SEQUINE aka Ungaro ngaro
black and yellow ;)
VIVAZI TOFAUTI NA SUTI NAVYO VILIKUWEPO KWA MABARAZA KAKA
Hii ya juu toxedo ya brocade fabric kama sikosei hamuoni inavowaka maua:)
HII NI KITU YA BAZEE......naomba iingie kwenye B2A
mpoki alipitiliza utofauti.....nipeni group la kumuweka maana chini ana chacha za kimasai na sox |
hip hop kama hawa walitokea hivi.....MLEGEZO KAMA KAWA ULIHUSUUUUU!! |
hii swagga ya vikoti vya ngozi ilishika hatam nayo
VIATUZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!
KT ikosekaneee......TENA chezeeeeeeeeeeeee ambukiza ;) nani anayetaka mateso
sharoBaro Queen ndani ya supra za KISHAROMARO ;)
HAIR DO'SSSSSSSSSS
KIDUKU STYLE KILICHUKUA CHAT kama mnavyowaona WANAMUZIKI NAMUIGIZAJI(SUPER STAR) Shaa, Lina na jacqWAKIROCK NAYO
tunaitambua kama RIRI hii imetumika saana kwa wadau na wageni waalikwa wa usiku huu
NYWELE ZA PENNY AMETENGENEZWA NA JOYCE WA SINZA |
NILIKOGUSWAAAAA
BF WATCH
Uuuuuwiiiiii dada mwenye hii clutch ya kitenge hebu tuwasiliane....sikuwa nimeiona wakati napiga picha nimekuja istukia wakati naandaa picha za kurusha ...ni email shamyomy@yahoo.com au nipigie 0784 418941
kitu cha Tatoo icho LIZYLICIOUS |
.....picha za tuzo na nani kapata nini ...zuka hapo mkono wako wakushoto kwenye links za IssaMichuzi, mtaa kwa mtaa, full shangwe, michuzi jr na wengineo upate kuchungulia
Subscribe to:
Posts (Atom)