KWA KUAMBIANA UKWELI NA KUTAKIANA KHERI YA SIKU HII AMBAPO TUNATAKIWA KUZITAFUTA FURSA TU NILI TUWEZE JIWEZESHA, NA LENGINE NALOTAKA SEMA TUPENDANE MASHOST WIVU WETU UWE WA MAENDELEO NA SIO WACHUKI MWENZIO AKIFANYA KITU KIZURI MSIFIE NA KAMA HUNA KIFUA BORA UKAE KIMYA KULIKO UMSHUSHE, TUSHIKAMANE TUSIMAME KAMA KITU KIMOJA ULE MSEMO WA KUSEMA ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZAKE UFE..... HAYA NAWE MDAU TUPIA UJUMBE WAKO KWA AJILI YA WANAWAKE WENZIO HAPO KATI.... Na tuyafanyie kazi si kujaza kurasa tu.
Xoxo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment