Thursday, February 17, 2011

MIAKA 100 YA MWANAMKA DUNIANI ......tunasherehekea hivi

Wanawake ni chachu ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii

hilo nalo nenooooooo na katika kulitimiza ilo neno wewe shostitooo inabidi ushiriki kwenye hili kwa kusaidia kutimiza lengo la WANAWAKE 100,STORI 100 NA SAUTI  MOJA UKIZINGATIA SIKU YA WANAWAKE DUNIATI INATIMIZA MIAKA 100  toka ianzishweeeee

hivyo nawe una nafasi ya kushiriki katika hili kwa kutuandikia hadithi ya mwanamke ambaye unamjua anamchango wa namna au nyengine katika jamii unayoishiii.
KUWASILISHA HIYO HADITHI YA MWANAMKE AMBAYE UNADHANI ANA MCHANGO NA UNATAKA USHEE NA JAMII WENGINE TUMTAMBUE NA KISHA MCHANGO WAKE UTHAMINIWE
andika na tuma kwa

msalimu@oxfam.org.uk au mishysingano@yahoo.com


MENGI KUHUSIANA NA SIKU HII YA WANAWAKE YANAKUJAAA MUENDELEE TEMBELEA 8020 FASHIONS, KWANI MWAKA HUU NATAKA KILA MWANAMKE AISHEREHEEKEEE HII SIKU KWA KUONESHA UMUHIMU WAKE KATIKA JAMII NA MICHANGO YETU ITHAMINIWEE...
BIBI SIKU YETU IYO IKIBIDI HATA KUISHONEA NGUO MPYA TUISHONE KAMA SI KUJITANDA UPANDE  MPYA WA KANGA AU TENGE JIPYA......siku yetu bibi  iyoo Huweziiiiiiiiiii ifanyia ivyooo

No comments:

Post a Comment